NEW TRICK OF FREE DOMAIN AND HOSTING FOR LIFE😳😳 (KISWAHILI) 2020

2
15

WEBSITE : https://www.000webhost.com
https://www.zanzict.com

DON’T TOUCH : https://www.youtube.com/c/ZANZICTSOLUTIONS2?sub_confirmation=1

ZANZICT ni kampuni ya teknolojia ya habari na mawasiliano iliopo Zanzibar na inafanya kazi zake kwa uweledi mkubwa katika teknologia. hususan katika fani ya kutoa huduma za utengezaji wa tovuti,kutengeza michoro mbali mbali(GRAPHICS DESIGNE) mfano nembo pamoja na kufunga mitambo ya kiusalama yaani (CCTV) .

Sambamba na hayo inatoa huduma za kusaidia wanafunzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano kuwapa elimu mtandaoni bure ikiwemo kwa kuwasaidia kupata taarifa na kuwaletea vitini mbali mbali kwa ukaribu ikiwa ni moja ya kukuza uweledi wa taaluma hiyo nchini.

Pia ZANZICT inalengo la kuielimisha jamii katika upatikanaji wa taarifa za kiteknolojia kwa ukaribu Zaidi kwa kuwaletea taarifa hizo katika lugha ya Kiswahili na kutoa misaada ya kitaalamu kwa mataasisi na mashirika mbali mbali.

ABOUT US
ZANZICT is an information technology and communication company located in Zanzibar and operates with its great expertise in technology. especially WEBSITE DESIGNE ,GRAPHICS DESIGNE and CCTV INSTALATION.

In line with this, we provide technical support in information technology and telecommunications students to provide free online education, by providing information and bringing them to close proximity as one of the professional development in our country

another side of coin we provide education to community in access of technological to the closest information by providing them with Kiswahili and providing professional assistance to institutions and organizations.

#YouTuber #1 ON TRENDING #KISWAHILI_2020 #FREE_DOMAIN_HOSTING

source